Najua utaupenda wimbo mpya wa Rita Ora Ft Chris Brown ‘Body On Me’ uko hapa

cb-rita-bom




Huu wimbo mpya wa Muingereza Rita Ora akiwa na Chris Brown “Body On Me,” kutoka kwenye album yake mpya iliyotengenezwa Marekani producer The Monsters and the Strangerz. Video imeshafanywa na director Colin Tilley aliyefanya Ayo ya Chris
                  

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.