Picha,Kijana wa Kikenya anayetaka kubadili jinsia yake,kabadilisha jina kwanza, stori iko hapa



kenya noma 454
Kijana wa KiKenya ambaye jina lake kamili ni Jaffar Jackson aka Miss Jay alitangaza mapema mwaka huukuwa anampango wa kubadilisha jinsia yake na kuwa mwanamke. Jaffar alitumia mitandao ya kijamii kusema kuwa anaishi kwenye mwili ambao sio wake na hataki tena kuwa hivyo.
Maneno hayo yalipokelewa kwa maneno makali kutoka kwa Wakenya, huku wengine wakimpongeza kwa uwamuzi wake.
Jipya ni kwamba Jaffar amebadilisha jina lake na kwa sasa ataitwa “Kimberlee J. Jackson
kenya noma

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.