Picha, Beyoncé aonyesha Tattoos zake mpya.


Msanii wa rnb na pop Beyoncé ametuonyesha tattoo mpya alizochorwa sehemu tofauti za mwili wake. Hizi ni tattoo za muda mfupi na zinaendana na mapambo tofauti anayotangaza.
Beyonce anafanya kazi na kampuni ya mapambo haya na Flash Tattoos. Tattoo zingine ni maneno ya nyimbo zake kama “Naughty Girl,” “Crazy in Love,” “Flawless,” na “Diva,”.
 beyonce-flash-tattoos-1 beyonce-flash-tattoos-2 beyonce-flash-tattoos-3 beyonce-flash-tattoos-4 beyonce-flash-tattoos-5 beyonce-flash-tattoos-6 beyonce-flash-tattoos-7 beyonce-flash-tattoos-slideshow

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.