Kumbe Floyd Mayweather hana habari na pesa za benki?
Ukiachilia utajiri wa fedha nyingi alizonazo benki, Mayweather amekua akitunza kiasi kikubwa cha fedha nyumbani kwake ili ziweze kumsaidia katika mahitaji mbalimbalimbali na pengine hajui ni kiasi gani alichonacho ndani.
Kwenye ukurasa wake wa @Instagram nyota huyo wa ngumi duniani aliweka picha akikusanya fedha zake na kuziweka kwenye beki tayari kwa safari yake.
Hakuna maoni