Ben Pol,Sophia ilitoka January15,haijashuka mpaka sasa, wimbo mpya mwezi ujao.
” Natoa wimbo mpya tarehe 8 September kwenye siku yangu ya kuzaliwa, Sophia imekaa kwenye nafasi nzuri kwenye radio kwa muda mrefu, sijawahi kuwa na wimbo uliokaa zaidi ya miezi nane, Sophia imefanya hivyo ”
Hakuna maoni