Video,Diamond Platnumz, Zari ndani ya Chumba Cha Mtoto wao Tiffah Abdul Naseeb


diamond platnumz
Mara chache tunapata nafasi ya kuona chumba cha watoto wa mastaa kinavyokuwa na mapambo ya thamani kubwa, hii video ya sekunde 60 ya Chumba cha mtoto wa Diamond Platnumz na Zari  ‘Tiffah Abdul Naseeb’.

                              

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.