Hivi ndivyo video ya Linah ‘No Stress’ ilivyotengenezwa South Africa (Behind The Scene)
Mabibi na Mabwana Leo Aug 10 Linah katubariki na baadhi ya vipande vya hii video yake wakati inatengenezwa vilivyochukuliwa lakini haviko kwenye official video,ni dakika 4 za Behind the scene ya No stress.
Hakuna maoni