Wema Sepetu kuhusu Magufuli na Lowassa..
Wakati wagombea mbalimbali wa vyama vya Siasa nchini Tanzania wakiwa na wafuasi wao wakiendelea kuingia kwenye headlines mbalimbali Aug 10 nakukutanisha na hii post ya Mrembo Wema Sepetu.
Kama unamfatilia Wema Sepetu kwenye mitandao yake ya kijamii leo kupitia mtandao wa Instagram kapost picha inayomuonyesha Waziri wa ujenzi John Magufuli akisalimiana na Steve Nyerere pamoja na Rais Jakaya Kikwete.
Kwenye post yake ameipa maneno haya >> ‘Wamoja havai Mbili…. Alafu
nina msg to Team Wema … Please my darlings… kama kuna mtu anatumia
account yenye jina langu naomba msimpost Lowassa tafadhal… Kama
unashindwa then badili tu jina… Dont use my name kumpost Lowassa ….
Jamani Iam Not Team Lowassa…. Thank u… CCM tu hapa… TeamMagufuli to
death … Nilishasema mi ni CCM Damu Kabisa… Sidanganyiki…
UKAWA mtaenda msojielewa….



>>>> @wemasepetu
UKAWA mtaenda msojielewa….
Hakuna maoni