Hatimae Mwanamuziki Ney wa Mitego na Mrembo Shamsa Ford Wamekubali live
Bila chenga kwamba wao ni Wapenzi na wanapika na Kupakuwa...Hiii imekuja
baada ya Muda Mrefu Kukataa kuwa wao ni wapenzi...Nay na Shamsa
Wameongea Hayo Kwenye Global Online TV ya Global Publishers.....
Hakuna maoni