Picha,Binti wa kizungu kutoka Norway aliyesafiri mpaka Tanzania kumuona Diamond Platnumz tu.



Diamond platnumz on fahamu tv
Ukurasa wa lebel ya Diamond Platnuz [Wcb Wasafi] umetufahamisha kuwa huyu binti wa kuzungu ametoka nchini kwao Norway mpaka Tanzania kwasababu ya kumuona Diamond Platnumz tu na bhatimaye walikutana.
Hatimae yule Dada Wa Norway akapata nafasi ya kuonana na @diamondplatnumz..kwa mujbu wake amesafiri Toka kwao kuja tu kumwona diamond ..inatia faraja Sana kuona MTU tena kutoka taifa la mbali anakua na mapenz makubwa kiasi hicho
Tumekutana na huyu mrembo anadai. Kasafiri toka Norway kuja Tanga kumshuhudia @diamondplatnumz tu…Watu wna Mapenzi aisee
diamond Platnumz guest 2 diamond Platnumz guest

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.