Ray Awashangaa Wanaobeza Ushindi wa Uwoya Ubunge Huko Tabora
Tuache Roho Mbaya Na Kuwadharau Wasanii Nakuwaona Kama Wa2 Wasiostahili Kuingia Kwenye Siasa Hivi Niulize Swali? Kuna Shule Yoyote Inayofundisha Siasa? Nadhani Kila m2 Atakuwa Na Jibu Lake Kichwani Tumeona Mifano Mingi 2 Kwa Wasanii Waliongia Kwenye Siasa Na wakafanikiwa Ndani Ya Africa Na Nje Ya Africa Marekani. ARNOLD SCHWARZENEGGER GAVANA , DESMOND ELIOT MUIGIZAJI TOKA NIGERIA ALISHIDA PIA UGAVANA, PIA YUPO RICHARD MOFE DAMIJO WENGI WANAMJUA KWA JINA LA PASTOR OKEMY TOKA NIGERIA Pia Ni Gavana Nk. Why Sisi Tusithubutu Wapeni Nguvu Wasanii Wenu Na Kuwatia Moyo Pale Wanapothubutu Kufanya Jambo Lolote. Waswahili Wanasemaje Kulegalega C Kufa Kufa Ni Kuoza Utumbo. Utabaki Kuwa Mtazamo Wangu Over...
Vicent Kigosi ‘Ray’ ‘@raythegreatest’ on instagram
Hongera sana Irene Uwoya, na kila la kheri kwenye harakati zako.
Hakuna maoni