Ata baad aya kuzungukwa na mambo yote ya beef kati ya mpenzi wake na
mshkaji wake, Nicki Minaj bado anamtumia Meek Mill kwenye ziara yake ya
Marekani na nje na bado mapenzi yao yananguvu.
Hii picha aliweka Nicki Minaj ikiwa na ujumbe “
Used to call me Hillary cuz I ride him ‘.”
Hakuna maoni