Picha, Sanamu nyingine ya Kanye West na Kim Kardashian wakipiga selfie.
Uingereza inazidi kuonyesha
mapenzi kwa mastaa Kanye West na Kim Kardashian kwa kuwaweka kwenye
sehemu tofauti kama sanamu zinazopiga Selfie.
Sanamuhizi ziko Madame Tussauds mjini London Zinamuonyesha Kanye na
Kim wakipiga selfie na wewe unaweza kaa mbele au nyuma yao upige nao.
Hakuna maoni