Mitandao tofauti Marekani ya udaku inasema msanii wa Pop na Rnb
Beyonce anaujauzito paada ya picha zake tofauti kusamba akiwa ameficha
tumbo. Beyonce na mke wa rapa maarufu duniani ambaye ni mmiliki wa lebel
ya Roc Nation ‘Jay Z’ na tayai wana mtoto mmoja anayefahamika kama Blue
Ivy.
Hizi ni picha za Beyonce akificha tumbo lake
Hakuna maoni