Kumbe 50 Cent na Ja Rule walishawahi kuwa na beef!!

Msanii wa hiphop Ja Rule.

 
50 JA 2

Rapa 50 Cent
FIF 2
Mvutano wa Meek Mill na Drake unaweza ukawa umefufua vitu vilivyowekwa chini ya carpet kwa muda mrefu sana kati ya Ja Rule na 50 Cent.
Siku chache zilizopita Ja Rule alipost kwenye Instagram kuhusu watu kulinganisha beef la Meek Mill na Drake na la kwake na 50 Cent huku akidai kulingsnishwa kwa ma-beef hayo ni sawasawa na kulinganisha chungwa na apple.
JA RULE

FIIF

Badaae akapost picha nyingine na kusema kuwa alichokisema awali ilikuwa ni utani tu, na hataki kuona watu wakiichukulia serious kile alichokisema lakini alisisitiza kuwa ma-beef hayo mawili yasilinganishwe wala kutajwa kwenye sentensi moja kabisa.
50 Cent hajakaa kimya na inaonekana ameguswa na kile alichokisema Ja Rule na akaamua kufufua matukio ya nyuma kukumbushia kuwa Ja Rule alisema aliwahi kumchakaza sana 50 kipindi flani hapo nyuma na kuandika; “Oya nilisikia ulichokisema kwenye radio…we mwehu nini kila mtu anajua nilikubutua nusu ya kufa”.
Post zao zilikuwa hivi kwenye Instagram na Twitter.
fif
P

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.