Nimeipata video ya alivyonaswa Profesa Lipumba akitangaza kujiuzulu CUF! iko hapa


Prof LipumbaNi Aug 6 2015 ambapo Mwenyekiti wa C.U.F Prof. Ibrahim Lipumba kakutana na Waandishi wa habari Dar es salaam kutangaza maamuzi yake magumu siku chache baada ya Edward Lowassa kujiunga na UKAWA.

                

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.