Nicki Minaj anabuni Game yake ya simu.
Rapa Nicki Minaj anabuni mchezo wake utakaoweza kuchezwa kwenye simu za mikononi. Nicki anafanya kazi na kampuni ya simu ya Glu Mobile Inc ikiwa ni kampuni inayoongoza kutengeneza michezo ya simu za mikononi za smartphone. Game hii inategemewa kutoka 2016
Kampuni hii imetengeneza game ya Kim Kardashian ‘Kim Kardashian: Hollywood’ ambayo mpaka sasa ni game iliyonunuliwa zaidi kupitia duka la mtandaoni la Apple la Marekani. Kim ametengeneza dola milioni $1.6 ndani ya siku tano na dola milioni 50 mpaka sasa.
Hakuna maoni