Mapato ya Album ya Dr Dre yatatolewa kama msaada kwa watoto wa Campton.
Dr Dre anasema mapato ya album mpya kutoka mitandaoni yatasaidi kujenga taasisi ya sanaa kwaajili ya watoto wa Campton.
Dr Dre amesema amewasiliana na meya ya Campron kuhusu msaada huo na wamekubaliana ni muda muafaka wakufanya shughuli hio.
“Nimekuwa nikitaka kufanya kitu special kwaajili ya mitaa nililiyotka na nilivyosikia kuhusu taasisiya sanaa itakayosaidia watoto Campton nikaona ni sawa ‘”
Album inaitwa Compton: A Soundtrack by Dr. Dre, ni soundtrack ya filamu ya maisha ya N.W.A >Straight Outta Compton na wasanii waliohusika ni Eminem, Ice Cube, Kendrick Lamar, Snoop Dogg, The Game.
Hakuna maoni