Full time ya Chelsea vs Swansea City na matokeo mengine ya EPL nimeweka hapa
Mchezo uliopigwa katika dimba la Stamford Bridge umemalizika kwa sare ya 2-2.
Baada ya Manchester United na Tottenham Hotspur kufungua dimba la
mechi za ligi kuu ya Barclays Premier League – Mabingwa watetezi wa
kombe hilo Chelsea nao jioni hii walianza utetezi wa kombe hilo kwa
kucheza dhidi ya Swansea.
Matokeo Mengine ya BPL
Man Utd 1-0 Spurs
Bournemouth 0-1 Aston Villa
Everton 2-2 Watford
Leicester 4-2 Sunderland
Norwich City 1-3 Crystal Palace
Matokeo Mengine ya BPL
Man Utd 1-0 Spurs
Bournemouth 0-1 Aston Villa
Everton 2-2 Watford
Leicester 4-2 Sunderland
Norwich City 1-3 Crystal Palace
Hakuna maoni