Barakah Da Prince, Agnes Masogange wana uhusiano? Sikiliza majibu ya Barakah…#UhearD (Audio)

bar

Barakah Da Prince ameonekana Airport na mmoja wa wafanyakazi wa uwanja wa Ndege akiwa na Agnes Masogange mida ya saa 1 usiku.
Barakah amesema ni kweli alikuwa airport kamsindikiza mtu lakini hakutaka kumtaja, anasema ni kweli Masogange alikuwa akisafiri, lakini yeye alikua na mambo yake mengine.
Pamoja na Soudy kumbana maswali sana Barakah amesema anamkubali sana Masogange hasa kwenye kufanya Video, lakini ni rafiki yake tu hakuna kitu kingine.
Msikilize Barakah akizungumza na Soudy Brown kwenye #Uheard..

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.