Wagombea Ubunge Tarime Wakamatwa Kwa Kutengeneza Kura FEKI
Uchaguzi wa kura za maoni kupitia CCM katika jimbo la
Tarime Mjini na Vijijini umeahirishwa hadi kesho baada ya kukamatwa
makaratasi maalum ya kupigia kura (kura feki ) zaidi ya elfu 20 zikiwa
na majina ya wagombea, Nyambare Nyangwine na Gaudencia Kabaka yakiwa
tayari yameshawekewa alama ya NDIO kuonesha kura zimekubaliwa
Hakuna maoni