Rapa wa Nigeria Vic O anasema alikosa nafasi ya kufanya collabo na Jay Z.
Rapa wa Nigeria Vic O anasema alikosa nafasi ya kufanya collabo na Jay Z.
Vic O ambaye hivi karibuni alisema anaweza kubattle kwenye rap na Drake na akamshinda amesema
alikamilisha mipango ya kufanya wimbo na Jay Z ila ilishindikana baada
ya kupoteza simu na dairy iliyokuwa na mawasiliano ya Jay Z, Dah huyu jamaa bana.
Haya ndio maneno yake “There was a collabo that was supposed to take place, ” Vic O revealed, “…with Jay Z, but what happened was that I lost my contact, my diary, my phone..”.
Hakuna maoni