Rais wa Ghana azungumzia muziki wao na msanii anayemsikiliza zaidi.


Mahama-sitting
Rais wa Ghana John Mahama amesema wimbo anaousikiliza zaidi kwa sasa ni wimbo wa Stonebwoy ‘Baafira’.
Rais Mahama amesema ” Anapendelea zaidi wasanii a zamani na msanii wake anayempenda zaidi ni Kojo Antwi. Wengine ni Gyedu Blay Ambolley, KK Kabobo, Rais Mahama aliendelea kusema anaamini Stonebwoy atahit na wimbo wake   Sheekena na Baafira ” .
Sababu ya Rais Mahama kumbwaga Sarkodie ni kutokana na nyimbo zake za kuponda serikali The masses, Dumsor na Inflation.
Rais John Mahama anasema wasanii wa Ghana wamekuwa na ushawishi mkubwa wa muziki wa Nigeria. Rais Mahama pia ameomba radio za Ghana ziwe na usawa kwenye kucheza nyimbo za Ghana na za nje.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.