Rais JK kwenye dance na Vanessa Mdee, Wema Sepetu alivyomtuza dola Magufuli.. (Video)
Ilikuwa burudani ya aina yake mtu wangu
ndani ya Ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam August 06 2015 ambapo
Wasanii zaidi ya 300 kutoka Kiwanda cha Bongo Movie na Bongo Fleva TZ
walikutana kumuaga Rais Kikwete katika hafla ambayo iliandaliwa na Umoja wa Wasanii hao.
Full video nyingine ni hii hapa mtu wangu, burudani ndani ya burudani, Rais JK na Vanessa Mdee walifungua dance ya nguvu, kwenye stage alikuwepo Dk. John Magufuli akionesha uwezo wake kupiga ngoma safi kabisa, Nape Nnauye nae akashikilia vizuri kabisa gitaa la bass, mambo yakanoga..!!
Hakuna maoni