Picha,Mpenzi wa Tyga kafikisha miaka 18, hii ndio Zawadi aliyomnunulia.
Gari hii inathamani ya dola $115,000 na tayari Kylie ameanza kuliendesha gari hilo. Kitu kingine alichofanya Tyga kuonyesha mapenzi ni kuchora tattoo ya jina la Kylie kwenye mkono wake.
Hii gari awali ilikuwa ya mama mtoto wa Tyga ambaye ni model Blac Chyna kabla halijabadilishwa rangi na kuwa nyekundu.
Hakuna maoni