Nuh Mziwanda Afunguka Makubwa Amtuhumu Idris wa Big Brother Kumsumbua Demu wake Shilole

Miongoni mwa watu walio comment kwenye picha hiyo ni pamoja na mmiliki wa ‘moyo’ wa Shishi Baby, Nuh Mziwanda ambaye alimchimba ‘biti’ Idris, akidai kuwa amekuwa akimsumbua mpenzi wake Shilole kwa kumtumia ujumbe ambao hapendezwi nao.
“Nikianza kumsumbua demu wako, kaam unavyomsumbua wangu utafurahi, nimekuvumilia sana bro, sasa imekuwa too much, tuheshimiane @idrissultan msg zako sijazipenda.”
Hakuna maoni