Nisha Awekwa Chini ya Ulinzi Chin...Kisa Madawa ya Kulevya...
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Nisha alisema kuwa alijikuta akiichukia nchi ya China baada ya kupata wakati mgumu alipowekwa chini ya ulinzi kwa muda wa saa nne.
“Yaani China si mchezo, ukienda uwe na sababu, bila sababu unaweza kujikuta unaishia jela, kwa sasa Watanzania hatuaminiki kabisa, mwenzenu nilikamatwa na kupekuliwa mpaka walipojiridhisha ndipo wakaniachia,” alisema Nisha.
Hakuna maoni