Nimeyapata matokeo ya uchaguzi wa Wabunge Bumbuli #CCM
Headlines
za sasa nyingi zimeelekea kwenye siasa ambapo Tanzania mwezi October
itakua ni muda wa Watanzania wote kuwapigia kura wagombea ambao wanaona
wanafaa.
January
Yusuph Makamba amepata kura 17,805 halafu mgombea mwingine ni
Abdulkadir Abdi Mgheni yeye amepata kura 2,403,Abubakar Juma Mshihiri
yeye amepata kura 205 na Yusuph Juma Shekwavi amepata kura 69.
Yamenifikia matokeo ya uchaguzi wa Wabunge kupitia Chama Cha Mapinduzi jimbo la Bumbuli,ambazo zimetolewa na Ramadhan Mahanyu Mkurugenzi wa Uchaguzi wilaya ya Lushoto.
Nimeambiwa pia kura zilizopigwa ni 20,522 kati ya hizo 40 ziliharibika na 20,482 ni kura halali.
Hakuna maoni