DR. Mjusi ndani ya MENEJIMENTI mpya...
Msanii nguli wa STAND UP COMEDY Saidi Sisee a.k.a DR-MJUSI ndani ya uwongozi mpya wa kazikazi Creation & Entertainment. Akizungumza na mwana habari ndani ya kazikazitz.blogspot.com
"DR-MJUSI alisema safari hii mashabiki zake wakae mkao wakula maana amekuja na maubunifu ya kutosha kuweza kuwakonga nyoyo zao naikuwezekana kuwavunja mbavu..."
Alimalizia kusema anawapenda sana mashabiki zake na amerudi tena.

Hakuna maoni