Aunt Ezekiel Anaimani na Lowassa au Magufuli?, Jibu Liko Hapa
Add caption |
Agosti 4, 2015 kupitia kwenye mtandao wa instagram mwigizaji Aunt Ezekiel ameamua kuyatoa ya moyoni na kumtaja mgombea wa urais ambaye anaimani naye kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 kwa kuyaandika haya :
‘Tunaimani na Lowassa..Mungu bariki Tanzania, Mungu bariki Africa‘
Hakuna maoni