WizKid anatembea kifua mbele baada ya wimbo alioshirikishwa na Drake kuvunja rekodi ya Hello wa Adele,ingia hapa
Wimbo huu wa Drake “One Dance” Ft Wizkid & Kyla umesikilizwa na watu milioni 7.86 nchini Uingereza tu na kufunika wimbo wa Adele wa “Hello” uliosikilizwa na watu milioni 7.32.
Wimbo upo kwenye album ya VIEWS.
Usikilize hapa
Hakuna maoni