Mwanamuziki Shilole Apata Ubalozi wa Kondom....

Tasnia ya muziki inakuwa TZ na namna ya wasanii wetu kuingiza kipato
inapanuka zaidi, kwani kwa sasa makampuni yameweza kuwaamini wasanii
kuwa wanaweza wakawa ni njia mojawapo ya kuwatangazia bidhaa zao. Leo
ktk pitapita zangu mitandaoni nimekutana na Shilole akiwa na ubalozi wa
Kondom. Hii pia inaonyesha kuwa makampuni hayamng'ang'anii msanii mmoja
kuwa balozi kama baadhi ya watu walivyokuwa wanasema.
Haya mnaonaje wakuu Shilole na ubalozi wa Kondom si
ni kama mapacha.
Mcheki hapa akiifanyia promo kwenye page yake ya Instagram:

Hakuna maoni