Sentensi zilizotoka kwa Snura baada ya wimbo wake wa ‘Chura’ kusitishwa
Kama utakuwa ni mpenzi wa kufuatilia stori za entertaiment basi hizi hapa zisikupite, millardayo.com imekurekodia stori zote za May 05 2016 ambazo zimepata airtime kupitia 255 ya XXL na moja ya Stori hizo ni hii Snura pamoja na Meneja wake HyperMan HK kuomba Radhi kutokana na hatua zilizochukuliwa na Wizara dhidi ya wimbo wa ‘Chura’.
Snura amezungumza haya……….>>>’Kabla
ya Serikali kutangaza mimi mwenyewe nilipewa barua kabla kwa hiyo jana
waandishi wa habari walivyoitwa mimi nilikuwa najua na leo nilijua
nitaongea mimi baada ya Wizara kutoa tamko’
>>>Serikali
ilichoamua nikuusitisha wimbo wa Chura na Video yake mpaka nitakapo
urekebisha na sio kwamba nimefungiwa kazi zangu zote‘:- Snura
Kusikiliza stori zote zilizopata airtime bonyeza Play hapa chini….
Hakuna maoni