Queen Bey amekalisha wasanii zaidi ya 5 waliotoa album hivi karibuni baada ya album yake ya
LEMONADE kwenye chati za Billboard 200. Kwenye wiki ya kwanza
LEMONADE imesukuma kopi 653,000.
- Beyoncé – LEMONADE – 653,000
- Prince – The Very Best of Prince – 391,000
- Prince – Purple Rain – 150,000
- Prince – The Hits/The B-Sides – 106,000
- Rihanna – ANTI – 50,000
- Prince – Ultimate – 40,000
- Prince – 1999 – 36,000
- A$AP Ferg – Always Strive and Prosper – 35,000
- Chris Stapleton – Traveller – 33,000
- Justin Bieber – Purpose – 31,000
Hakuna maoni