Diamond Platnumz Atokuja Kusoma Kwenye Simu ya Mpenzi Wake Kamwe...Hii Masege Ndio ilimuumiza Sana A

Kwenye Exclusive Interview ya OnAIRwithMillardAyo mwimbaji staa wa
bongofleva Diamond Platnumz hatosahau siku alipopekua simu ya mpenzi
wake na kukuta msg ambazo zilimfanya mpaka leo asithubutu kushika simu
ya mpenzi wake yeyote, mtazame mwenyewe akiongea hapa chini..
Hakuna maoni