Donald Trump asema Mike Tyson sio mmbakaji.
Wampinzani wa Donald Trump wametumia kesi ya ubakaji ya mwaka 1992 ya bongia Mike Tyson ambapo Donald Trump alimtetea mpiganaji huyo.
Donald amejibu kwa kusema “Sababu Mike Tyson amenikubali na kuliweka wazi jambo hilo mitandaoni, basi ishakuwa issue, Sijaonana na Mike kwa miaka mingi sasa ila yeye kafanya hivyo kuonyesha anakubali nachosema”
Hakuna maoni