Soulja Boy anaelekea kumzidi Beyonce Utajiri.
Soulja Boy aliandika Twitter “$400 million deal confirmed,I still they think they low balled me though. I was thinking 2 or 3 billion..”
Soulja akikamilisha mchongo huu atawafunika wasanii kibao wa kiume na hata wa kike wenye mkwanja mrefu kama Beyonce.
Kabla ya dili hili dhamani ya Soulja Boy ilikuwa dola milioni 25 .
Hakuna maoni