Rapa mkali Joe Budden aikosoa album ya Drake.
“Kazi nzuri sana Noah “40” Shebib kwenye hii album ila Drake naye mjua sio nayemsikia hapa, Drake hajabadilika wala kuendelea kwenye hii album,hajanigusa,namtaka Drake anayeongelea kitu na sio kitu tu alichoongelea Drake, ila Noah ametisha“.
Joe Budden ni miongoni mwa rapa wakali nchini Marekani.
Hakuna maoni