Birdman azama studio na kurekodi wimbo wa ‘Respek’ ni noma,uko hapa.
Kwenye wimbo anasema “Tell them ni**as to respek my name,Or keep it out of their fuckin’ mouth.”
Hii ni album mpya na imepewa jina la marehemu mama yake Birdman Ms. Gladys na inategemewa kutoka June 24 baada ya album ya Rich Gang’s Rich Gang 2: The Lifestyle on July 1.

Hakuna maoni