Stori,Prince alitaka kuwa mwalimu wa Chris Brown Kabla ya kifo chake.
Mahojiano haya yalifanyika mwaka 2014 Prince alitaka kuwa mwalimu wa Chris Brown na alishawahi kumkaribisha kwenye jumba lake huko Paisley Park mjini Minneapolis.
Prince alishangazwa sana na watu kusema hawawezi msamehe Chris Brown kwa kitendo cha kumpiga Rihanna mwaka 2009 .
Baada ya kifo cha Prince, Chris Brown aliandika hivi “I AM THANKFUL FOR EVERYTHING THIS MAN HAS GIVEN US AND HE WILL LIVE FOREVER IN MY HEART!”
Prince alifariki April 21 akiwa na miaka 57
Hakuna maoni