Picha,Diamond Platnumz alivyozima tetesi za kumsaliti na kuachana na Zari.
Kupitia instagram yake Diamond amesema waliotengeneza taarifa hizo wamechelewa sana. Hii ndio post ya maneno na picha aliyotumia. “diamondplatnumzRoho ya SIMBA!!!…. wanajaribu ila hawatokaa Waweze… Nakupenda Mpaka Naugua! @Zarithebosslady







Hakuna maoni