Roma asema bado anasubiri uongozi utakao mfanya aanze kuimba nyimbo za bata.
Roma anasema “Najaribu kutafuta utawala au uongozi utakao nifanya niimbe bata, nikianza kuimba bata inamaana tumeshinda vita, na sasa naimba kula bata na kuimbia baby’s,ila sasa naendelea kushindilia ili nibaki kuwa mwanaharakati hapa Tanzania“.
Roma pia alikata kuweka wazi kuwa amekamatwa na polisi mara ngapi mpaka sasa kutokana na nyimbo zake.
Msikilize Roma Hapa kwa maneno yake mwenyewe.
Hakuna maoni