Picha,Birdman anafanya video ya ‘Respek’, cheki ndinga atakayotumia kuwanyoosha Haters.


Baada ya kurekodi wimbo wa ‘Respek’ sasa bosi wa Cash Money Records, Birdman anarudi nyumbani kwao New Orleans kufanya video ya wimbo huu.
Mpaka sasa inasemekana kwenye video hii ataonekana rapa Soulja Boy.
b 1
b 2
b 3

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.