DJ Khaled na mchumba wake wanategemea mtoto wao wa kwanza.


DJ Khaled ambaye kwa sasa anafanya show kubwa kwenye ziara ya Beyonce ya “The Formation World Tour” ametangaza habari mpya kuwa anategemea mtoto.
Dj Khaled atakuwa baba kwa mara ya kwanza baad aya kutangaza mchumba wake Nicole Turk ana ujauzito wa miezi mitatu.
Mwaka huu umekuwa mzuri kwa Khaled ambaye kwa sasa ana dili kubwa na lebel ya Epic,na lebel ya Roc Nation ya Jay Z

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.