Baada ya meneja kufunguka vigezo vya collabo na Diamond, Baraka Da Prince naye kataja vyake (+Audio)
Kama utakuwa ni mpenzi wa kufuatilia stori za entertaiment basi millardayo.com imekurekodia stori zote za May 02 2016 ambazo zimepata airtime kupitia 255 ya XXL
na moja ya Stori ambayo imepata airtime ni hii ya Barack Da Prince
kuelezea vigezo kama ukitaka kufanya nae collabo, Baraka amesema…..
>>>sichaji
collabo process yangu mpaka uongee na menejimenti yangu lakini kabla
hujazungumza nao napenda kusikiliza wimbo wenyewe na uwezo wa msanii,
mimi kuimba mpaka niwe nimeupenda wimbo ila kama sijaupenda wimbo hata
uongee na menejimenti yangu’
>>>‘wengi
wanakuja Baraka tutakupa hata hela, mimi huwa sijaweka hela sana mbele
sababu unaweza kunipa hela kama nyimbo mbaya itaishia wapi haiwezi
kuniongezea mimi chochote kwa sababu nikiimba kwenye nyimbo mbaya kwa
sababu umenilipa itanishusha mimi’:- Baraka Da Prince
Stori zote zilizopata airtime unaweza kubonyeza Play hapa chini….
Hakuna maoni