Sugu asema wimbo wa ‘Freedom’ hauna mambo ya siasa.
Akiongea na #Sammisago Kwenye #FNL, Sugu amekanusha Freedom kuwa wimbo wa siasa nakusema “Hapana Freedom hii ni nyingine, Freedom ni mtu kuweza kuwa huru kuweza kurudi tena studio na watu kama Master J, MJ, Daxo Chali kufanya kile nachopenda kufanya na kuweza kufanya kile ambacho kule nyuma nilishindwa kukifanya,Kwa hiyo sasa hivi ninaweza kusema nina Freedom zaidi, Freedom inabeba mambo mengi ikiwemo kukataa kuwa kwenye stress“.
Hakuna maoni