MWIGIZAJI mahiri katika tasnia ya filamu Bongo Riyama Ali amelalamikia
madalali wa kazi za wasanii kwa kuwa chanzo cha dhuluma kwa wasanii
wanaotengeneza filamu, huku wao wakijinufaisha na jasho lao akiongaea na
FC Riyama amedai kuwa ametapeliwa kazi yake ya Kajala.
Hakuna maoni