Taarifa kutoka kwa Soudy Brown, baada ya Wema kulala Hotelini na alichokiacha ndani ya Chumba hicho…
May 5 2016 Soudy Brown
amekutana na taarifa ya staa kutoka kiwanda cha filamu nchini Tanzania
Wema Sepetu kukutana na hizi tuhuma za kuacha Chumba alicholala kwenye
Hoteli katika hali isiyo salama, kama hukupata time ya kuisikiliza hii
usijali nimerecord Full stori na utaipata hapa millardayo.com.
>>>’Kusema ukweli
taarifa hizo mimi kama meneja wa Wema Sepetu sina halafu kwa mimi
ninachojua ni kuwa haiwezekani hotel wakatoa taarifa ya mteja wao‘:- Martin Kadinda Meneja wa Wema Sepetu
BONYEZA PLAY KUSIKILIZA FULL STORI PIA USISAHAU KUNIACHIA COMMENT YAKO …
Hakuna maoni