Jeuri ya Pesa: Bondia Floyd MayWeather Achoma Dola Hadharani


Bondia mwenye jeuri ya pesa Mayweather amechoma pesa hadharani $100 kwa kiberiti,mbele ya wapqmbe wake huku akishangiliwa na wapambe

Pembeni akiwa amezungukwa na warembo waki-massage massage mwili wake...Jamaa ana kufuru sana ya pesa

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.