Tuhuma za Petitman kumkimbia msanii wake (+Audio)
U Heard ya Soudy Brown kupitia XXL ya Clouds FM May 02 2016 inamhusu Petitman kutoka kwenye Kampuni ya Endless Fame ambayo iko chini ya Wema Sepetu kulalamikiwa na wasanii wake kwamba amewamwaga, Soudy Brown ameinasa hii voice note ya Mirror akimlalamikia Petitman…
>>>uniongelei
mimi kwa uzuri kwa nini mimi nionekane kwamba sifanyi kazi sio kweli,
kama mimi ningekuwa sina kitu ninachokitaka kwenye huu muziki ningekuwa
nimeshapotea’
>>>Wasanii
wengine hajawamwaga lakini kuna group moja lilitengenezwa whatsapp la
kizushi huko South, wamekuwa kama wanalalamika wanamwambia kwamba siku
hizi uko busy na billnas na sisi kama unatupangua amewambia nyie vijana
kazeni tu’:-Chafu
Full stori ipo kwenye hii sauti hapa chini….
Hakuna maoni